CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 49
Kipi ni kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Kaka alikuwa akiosha vyombo jikoni.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kipi ni kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo.
Kaka alikuwa akiosha vyombo jikoni.
- AJikoni
- Balikuwa
- Cakiosha
- Dvyombo
Answer
C. akiosha
The correct option is C: akiosha.