CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 43
Andika kauli ya kutendewa ya sentensi: Mama anapika uji wa mtoto.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Andika kauli ya kutendewa ya sentensi:
Mama anapika uji wa mtoto.
- AUji wa mtoto unapikwa na mama.
- BMtoto anapikiwa uji na mama.
- CMama anampikia mtoto uji.
- DMama anapikisha uji wa mtoto.
Answer
A. Uji wa mtoto unapikwa na mama.
The correct option is A: Uji wa mtoto unapikwa na mama.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ingia ni kwa toka kama vilivyo teleka kwaQuestion 44
- Maneno 'ugonjwa' na 'ubele' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Andika umoja wa sentensi ifuatayo. Mikono yao imechafuka.Question 46
- Maji, maziwa na uji ni nomino zaQuestion 47
- Tegua kitendawili kifuatacho: Mfalme wetu hushuka kwa kelele.Question 48
- Kipi ni kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Kaka alikuwa akiosha vyombo jikoni.Question 49