CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 38
Kipi ni kielezi katika sentensi ifuatayo? Askari wa trafiki walilisimamisha basi hilo barabarani.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kipi ni kielezi katika sentensi ifuatayo? Askari wa trafiki walilisimamisha basi hilo barabarani.
- AWa
- BHilo
- CBarabarani
- DWalilisimamisha
Answer
C. Barabarani
The correct option is C: Barabarani.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi changamano kati ya zifuatazo.Question 39
- Andika usemi wa taarifa wa sentensi ifuatayo. “Tutajifunza kuandika insha ya maelezo kesho,” mwalimu aliwaambia…Question 40
- Andika udogo wa sentensi. Mtoto huyu atacheza ngoma ile.Question 41
- Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?Question 42
- Andika kauli ya kutendewa ya sentensi: Mama anapika uji wa mtoto.Question 43
- Ingia ni kwa toka kama vilivyo teleka kwaQuestion 44