CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 36
Chagua jawabu lililo na kihusishi cha sababu.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Source text
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuanzia nambari 36 mpaka 50, chagua jibu lifaalo zaidi.
Chagua jawabu lililo na kihusishi cha sababu.
- AMvua imekuwa ikinyesha tangu asubuhi.
- BYakobo ameenda hospitalini kwa matibabu.
- CMtu hafai kuwa mchafu mithili ya fungo.
- DShamba hilo lililimwa na mkulima yule.
Answer
D. Shamba hilo lililimwa na mkulima yule.
The correct option is D: Shamba hilo lililimwa na mkulima yule.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Bainisha sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa vitendo.Question 37
- Kipi ni kielezi katika sentensi ifuatayo? Askari wa trafiki walilisimamisha basi hilo barabarani.Question 38
- Chagua sentensi changamano kati ya zifuatazo.Question 39
- Andika usemi wa taarifa wa sentensi ifuatayo. “Tutajifunza kuandika insha ya maelezo kesho,” mwalimu aliwaambia…Question 40
- Andika udogo wa sentensi. Mtoto huyu atacheza ngoma ile.Question 41
- Maagano ‘alamsiki’ hujibiwaje?Question 42