naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 28

Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 28 katika kifungu.

From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)

Source text
Watu .......26........ na ujuzi wa lugha hutumia tamathali mbalimbali .......27....... ujumbe wao ........28........, utawasikia wakitumia ........29........ kama vile mwafulani ni ndumakuwili, wakiwa na maana kuwa mtu huyo ni ........30........ Vilevile, wao hutumia lugha ya adabu........31........ tafsida. Mfano wa tasfida ni ........32........ Vipengele ........33........vya lugha ni muhimu sana ........34........ katika kupamba lugha ........35........ pia kupunguza ukali wa maneno.

Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 28 katika kifungu.

  1. AMathalani
  2. BJapo
  3. CIlhali
  4. DIngawa

Answer

B. Japo

The correct option is B: Japo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test