CBC Grade 9 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 32
Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 32 katika kifungu.
From Test 92 — Kiswahili Karatasi 1 Muhula 2 Mei 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Source text
Watu .......26........ na ujuzi wa lugha hutumia tamathali mbalimbali .......27....... ujumbe wao ........28........, utawasikia wakitumia ........29........ kama vile mwafulani ni ndumakuwili, wakiwa na maana kuwa mtu huyo ni ........30........ Vilevile, wao hutumia lugha ya adabu........31........ tafsida. Mfano wa tasfida ni ........32........ Vipengele ........33........vya lugha ni muhimu sana ........34........ katika kupamba lugha ........35........ pia kupunguza ukali wa maneno.

- Akuzaa
- Banaendesha
- Cameondoka
- Dsalaale!
Answer
C. ameondoka
The correct option is C: ameondoka.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 33 katika kifungu.Question 33
- Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 34 katika kifungu.Question 34
- Chagua jawabu sahihi kwa nafasi ya 35 katika kifungu.Question 35
- Chagua jawabu lililo na kihusishi cha sababu.Question 36
- Bainisha sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa vitendo.Question 37
- Kipi ni kielezi katika sentensi ifuatayo? Askari wa trafiki walilisimamisha basi hilo barabarani.Question 38