CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026
Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Wanasiasa hurudi mashinani wakati waAnswer: B. kampeni
- Question 2: Wanasiasa huahidi nini kwa wapiga kura?Answer: C. Maendeleo kama barabara na elimu
- Question 3: Kwa nini baadhi ya wanasiasa hawaaminiwi tena?Answer: A. Hawatimizi ahadi zao
- Question 4: Matatizo gani huendelea kukumba maeneo fulani baada ya uchaguzi?Answer: C. Ukosefu wa maji na barabara mbovu
- Question 5: Wanasiasa wa kweli huwajibikaje kwa wananchi wao?Answer: B. Huwatembelea mashinani na kusikiliza matatizo yao
- Question 6: Methali "kamba ya mbali haifungi kuni" ina maana gani katika kifungu?Answer: C. Maendeleo ya kweli yanahitaji ukaribu na wananchi
- Question 7: Wanasiasa wanaowajibika kwa dhati hupongezwa kwaAnswer: C. vitendo vinavyoleta mabadiliko chanya
- Question 8: Ni nini maana ya nahau 'kuchanga bia' ilivyotumika katika kifungu hiki?Answer: C. Kushirikiana katika kutekeleza jambo
- Question 9: Ni mnyama yupi hajatajwa katika kifungu hiki?Answer: A. Kinyonga
- Question 10: Kobe alikuwa na jukumu gani la kutekeleza?Answer: B. Kuhakikisha chakula kinapelekwa salama
- Question 11: Hadithi hii inatufunza kuwaAnswer: A. bidii na ushirikiano vinaweza kuleta mafanikio makubwa
- Question 12: Mtoto wa Sungura huitwaAnswer: D. kitekli
- Question 13: Jamii ya Abagusii ilikumbwa na shida gani wakati wa ukoloni?Answer: C. Unyanyasaji na ushuru mkubwa
- Question 14: Otenyo Nyamaterere alikuwa nani?Answer: C. Kijana shupavu wa Kisii aliyepinga ukoloni
- Question 15: Otenyo aliongoza mashambulizi dhidi yaAnswer: B. maafisa wa Wajerumani
- Question 16: Wajerumani walifanya nini baada ya mashambulizi ya Otenyo?Answer: C. Walikusanya jeshi kubwa kulipiza kisasi
- Question 17: Otenyo anakumbukwa leo kwa sababu gani?Answer: C. Alipigania haki na uhuru wa jamii ya Abagusii
- Question 18: Ni tunda gani ambalo halikununuliwa na Musa na PraiseAnswer: A. Embe
- Question 19: Ni tunda gani lilinunuliwa kwa wingi wiki hiyo?Answer: C. Nanasi
- Question 20: Tambua tunda ambalo wateja wengi hawalipendi.Answer: B. Embe
- Question 21: Ni siku gani ya wiki ambayo wateja hununua tunda la aina moja kwa wingi?Answer: A. Alhamisi
- Question 22: Ni siku gani mazungumzo haya yalifanyika?Answer: C. Jumatatu
- Question 23: Somo lililofundishwa lilikuwa lipi?Answer: C. Kiswahili
- Question 24: Kulingana na Zawadi, kusoma vitabu husaidiaAnswer: B. kuongeza misamiati na maarifa
- Question 25: Wonder alisema kusoma vitabu kunasaidia nini?Answer: C. Kufikiri kwa makini na kuelewa mambo
- Question 26: Upendo aliongeza kuwa kusoma vitabu hukusaidia vipi?Answer: B. Kukuza uwezo wa kufikiri
- Question 27: Mwalimu aliwataka wanafunzi kufanya nini baada ya mjadala?Answer: B. Kuandika insha kuhusu kitabu wanachokipenda
- Question 28: Chagua neno linalofaa pengo 28.Answer: B. muhimu
- Question 29: Chagua neno linalofaa pengo 29.Answer: B. safi
- Question 30: Chagua neno linalofaa pengo 30.Answer: C. kuhara na kipindupindu
- Question 31: Chagua neno linalofaa pengo 31.Answer: A. jaa
- Question 32: Chagua neno linalofaa pengo 32.Answer: C. kunawa mikono
- Question 33: Chagua neno linalofaa pengo 33.Answer: A. kupiga deki
- Question 34: Chagua neno linalofaa pengo 34.Answer: B. warsha
- Question 35: Chagua neno linalofaa pengo 35.Answer: A. na
- Question 36: Chagua orodha yenye maneno ya aina moja.Answer: B. Wema, huzuni, amani
- Question 37: Chagua sentensi iliyotumia kiwakilishi cha idadi.Answer: D. Alinunua vikombe viwili
- Question 38: Nomino zifuatazo zinapatikana katika ngeli moja isipokuwaAnswer: C. damu
- Question 39: Kanusha sentensi ifuatayo: Tungalicheza vizuri tungalishinda.Answer: D. Tusingelicheza vizuri tusingelishinda
- Question 40: Tumia kivumishi cha sifa kujaza pengo. Mwanafunzi ___ anapenda mchezo wa riadha.Answer: C. mrefu
- Question 41: Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi hii. Wanariadha wangali wanafanya mazoezi uwanjani.Answer: C. Wangali
- Question 42: Tumia kiambishi ngeli kinachofaa kujaza nafasi: Makala yale ___ maudhui mepesi.Answer: A. yana
- Question 43: Ni nini kinyume cha neno lililopigiwa mstari katika sentensi hii? Mkulima aling'oa mimea iliyokuwa imenyauka.Answer: A. Panda
- Question 44: Chagua sentensi iliyoandikwa katika kauli ya kutendewa.Answer: B. Mtoto alipikiwa uji wa kutosha
- Question 45: Ni sentensi ipi imetumia mbinu ya methali?Answer: A. Mwanasoka huyo anaelewa kuwa bidii hulipa
- Question 46: Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Answer: D. Jua limewaka sana msimu huu
- Question 47: Andika kwa udogo: Mpira huu unafurahisha watoto.Answer: D. Kipira hiki kinafurahisha vitoto
- Question 48: Tambua aina za nomino zilizopigiwa mstari: Binamu Musa alinunua pakacha la matunda sokoni.Answer: C. Kawaida, makundi
- Question 49: Kisawe cha mvuli niAnswer: D. staftahi
- Question 50: Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa: "Nina furaha kubwa sana leo," Mwalimu Isaia alisema.Answer: B. Mwalimu Isaia alisema kwamba alikuwa na furaha kubwa siku hiyo