CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 47
Andika kwa udogo: Mpira huu unafurahisha watoto.
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Udogo na Ukubwa wa Nomino
Andika kwa udogo: Mpira huu unafurahisha watoto.
- AMipira hii unafurahisha watoto
- BKipira hiki kinafurahisha watoto
- CKimpira hiki kinafurahisha watoto
- DKipira hiki kinafurahisha vitoto
Answer
D. Kipira hiki kinafurahisha vitoto
Jibu sahihi ni D: Kipira hiki kinafurahisha vitoto.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua aina za nomino zilizopigiwa mstari: Binamu Musa alinunua pakacha la matunda sokoni.Question 48
- Kisawe cha mvuli niQuestion 49
- Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa: "Nina furaha kubwa sana leo," Mwalimu Isaia alisema.Question 50
- Wanasiasa hurudi mashinani wakati waQuestion 1
- Wanasiasa huahidi nini kwa wapiga kura?Question 2
- Kwa nini baadhi ya wanasiasa hawaaminiwi tena?Question 3