CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 46
Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.
- AKijakazi alikuwa akipiga deki
- BMtoto atalazwa kitandani
- CNajua tofauti ya mandhari na mandari
- DJua limewaka sana msimu huu
Answer
D. Jua limewaka sana msimu huu
Jibu sahihi ni D: Jua limewaka sana msimu huu.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika kwa udogo: Mpira huu unafurahisha watoto.Question 47
- Tambua aina za nomino zilizopigiwa mstari: Binamu Musa alinunua pakacha la matunda sokoni.Question 48
- Kisawe cha mvuli niQuestion 49
- Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa: "Nina furaha kubwa sana leo," Mwalimu Isaia alisema.Question 50
- Wanasiasa hurudi mashinani wakati waQuestion 1
- Wanasiasa huahidi nini kwa wapiga kura?Question 2