CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 45
Ni sentensi ipi imetumia mbinu ya methali?
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi
Ni sentensi ipi imetumia mbinu ya methali?
- AMwanasoka huyo anaelewa kuwa bidii hulipa
- BWanasiasa wetu ni chiriku
- CWao wanapenda kuiga kama kasuku
- DWalimu wa siku hizi hutia fora
Answer
A. Mwanasoka huyo anaelewa kuwa bidii hulipa
Jibu sahihi ni A: Mwanasoka huyo anaelewa kuwa bidii hulipa.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Question 46
- Andika kwa udogo: Mpira huu unafurahisha watoto.Question 47
- Tambua aina za nomino zilizopigiwa mstari: Binamu Musa alinunua pakacha la matunda sokoni.Question 48
- Kisawe cha mvuli niQuestion 49
- Andika sentensi hii katika usemi wa taarifa: "Nina furaha kubwa sana leo," Mwalimu Isaia alisema.Question 50
- Wanasiasa hurudi mashinani wakati waQuestion 1