naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 44

Chagua sentensi iliyoandikwa katika kauli ya kutendewa.

From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko

Chagua sentensi iliyoandikwa katika kauli ya kutendewa.

  1. AYeye alipakua chakula kikaisha
  2. BMtoto alipikiwa uji wa kutosha
  3. CWao walichoreana picha nzuri
  4. DAlipigwa na umati wa watu

Answer

B. Mtoto alipikiwa uji wa kutosha

Jibu sahihi ni B: Mtoto alipikiwa uji wa kutosha.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test