naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 2

Wanasiasa huahidi nini kwa wapiga kura?

From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Kifungu 1
Wakati wa kampeni, wanasiasa hurudi mashinani kujipendekeza kwa wapiga kura kwa ahadi tamu kama kujenga barabara, kuleta umeme na kusomesha watoto hadi vyuo vikuu, ingawa mara nyingi huongeza chumvi kwenye ahadi hizo. Hata hivyo, wapiga kura sasa wanaelewa kuwa baadhi ya wanasiasa hawatekelezi ahadi na hutelekeza maeneo yao yaliyojaa matatizo kama barabara mbovu, ukosefu wa maji na ufukara.

Kwa upande mwingine, kuna wanasiasa wanaowajibika kwa dhati kwa wananchi wao. Huwatembelea mashinani, kusikiliza matatizo na kuyatatua kwa karibu, wakifahamu kuwa maendeleo ya kweli yanahitaji ushirikiano wa karibu na wananchi. Wanasiasa wa aina hii hupongezwa kwa juhudi zao zinazoboresha maisha ya watu.

Wanasiasa huahidi nini kwa wapiga kura?

  1. ASafari za nje ya nchi
  2. BMishahara mikubwa
  3. CMaendeleo kama barabara na elimu
  4. DVyeti vya heshima

Answer

C. Maendeleo kama barabara na elimu

Jibu sahihi ni C: Maendeleo kama barabara na elimu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test