CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 3
Kwa nini baadhi ya wanasiasa hawaaminiwi tena?
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu 1
Wakati wa kampeni, wanasiasa hurudi mashinani kujipendekeza kwa wapiga kura kwa ahadi tamu kama kujenga barabara, kuleta umeme na kusomesha watoto hadi vyuo vikuu, ingawa mara nyingi huongeza chumvi kwenye ahadi hizo. Hata hivyo, wapiga kura sasa wanaelewa kuwa baadhi ya wanasiasa hawatekelezi ahadi na hutelekeza maeneo yao yaliyojaa matatizo kama barabara mbovu, ukosefu wa maji na ufukara.
Kwa upande mwingine, kuna wanasiasa wanaowajibika kwa dhati kwa wananchi wao. Huwatembelea mashinani, kusikiliza matatizo na kuyatatua kwa karibu, wakifahamu kuwa maendeleo ya kweli yanahitaji ushirikiano wa karibu na wananchi. Wanasiasa wa aina hii hupongezwa kwa juhudi zao zinazoboresha maisha ya watu.

- AHawatimizi ahadi zao
- BHuwapiga wananchi
- CHuchelewesha kampeni
- DHawatembelei mashinani
Answer
A. Hawatimizi ahadi zao
Jibu sahihi ni A: Hawatimizi ahadi zao.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Matatizo gani huendelea kukumba maeneo fulani baada ya uchaguzi?Question 4
- Wanasiasa wa kweli huwajibikaje kwa wananchi wao?Question 5
- Methali "kamba ya mbali haifungi kuni" ina maana gani katika kifungu?Question 6
- Wanasiasa wanaowajibika kwa dhati hupongezwa kwaQuestion 7
- Ni nini maana ya nahau 'kuchanga bia' ilivyotumika katika kifungu hiki?Question 8
- Ni mnyama yupi hajatajwa katika kifungu hiki?Question 9