naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 19

Ni tunda gani lilinunuliwa kwa wingi wiki hiyo?

From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Jedwali la matunda
Nabii hufanya biashara ya kuuza matunda. Wateja wake wakuu ni Musa, Praise, Otis na Kamau. Wao huwa na siku ambazo hununua matunda anayotaka.

Mteja/Siku: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili
Musa: Mapera, Ndizi, Nanasi, Tikitimaji, Mapera, Nanasi, Tikitimaji
Praise: Ndizi, Mapera, Nanasi, Mapera, Tikitimaji, Embe, Nanasi
Otis: Nanasi, Nanasi, Mapera, Mapera, Nanasi, Ndizi, Tikitimaji
Kamau: Tikitimaji, Nanasi, Ndizi, Mapera, Nanasi, Ndizi, Nanasi

Ni tunda gani lilinunuliwa kwa wingi wiki hiyo?

  1. AMapera
  2. BNdizi
  3. CNanasi
  4. DTikitimaji

Answer

C. Nanasi

Jibu sahihi ni C: Nanasi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test