CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 18
Ni tunda gani ambalo halikununuliwa na Musa na Praise
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Jedwali la matunda
Nabii hufanya biashara ya kuuza matunda. Wateja wake wakuu ni Musa, Praise, Otis na Kamau. Wao huwa na siku ambazo hununua matunda anayotaka.
Mteja/Siku: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili
Musa: Mapera, Ndizi, Nanasi, Tikitimaji, Mapera, Nanasi, Tikitimaji
Praise: Ndizi, Mapera, Nanasi, Mapera, Tikitimaji, Embe, Nanasi
Otis: Nanasi, Nanasi, Mapera, Mapera, Nanasi, Ndizi, Tikitimaji
Kamau: Tikitimaji, Nanasi, Ndizi, Mapera, Nanasi, Ndizi, Nanasi
Nabii hufanya biashara ya kuuza matunda. Wateja wake wakuu ni Musa, Praise, Otis na Kamau. Wao huwa na siku ambazo hununua matunda anayotaka.
Mteja/Siku: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili
Musa: Mapera, Ndizi, Nanasi, Tikitimaji, Mapera, Nanasi, Tikitimaji
Praise: Ndizi, Mapera, Nanasi, Mapera, Tikitimaji, Embe, Nanasi
Otis: Nanasi, Nanasi, Mapera, Mapera, Nanasi, Ndizi, Tikitimaji
Kamau: Tikitimaji, Nanasi, Ndizi, Mapera, Nanasi, Ndizi, Nanasi
Ni tunda gani ambalo halikununuliwa na Musa na Praise
- AEmbe
- BNanasi
- CTikitimaji
- DMapera
Answer
A. Embe
Jibu sahihi ni A: Embe.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni tunda gani lilinunuliwa kwa wingi wiki hiyo?Question 19
- Tambua tunda ambalo wateja wengi hawalipendi.Question 20
- Ni siku gani ya wiki ambayo wateja hununua tunda la aina moja kwa wingi?Question 21
- Ni siku gani mazungumzo haya yalifanyika?Question 22
- Somo lililofundishwa lilikuwa lipi?Question 23
- Kulingana na Zawadi, kusoma vitabu husaidiaQuestion 24