CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 21
Ni siku gani ya wiki ambayo wateja hununua tunda la aina moja kwa wingi?
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Jedwali la matunda
Nabii hufanya biashara ya kuuza matunda. Wateja wake wakuu ni Musa, Praise, Otis na Kamau. Wao huwa na siku ambazo hununua matunda anayotaka.
Mteja/Siku: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili
Musa: Mapera, Ndizi, Nanasi, Tikitimaji, Mapera, Nanasi, Tikitimaji
Praise: Ndizi, Mapera, Nanasi, Mapera, Tikitimaji, Embe, Nanasi
Otis: Nanasi, Nanasi, Mapera, Mapera, Nanasi, Ndizi, Tikitimaji
Kamau: Tikitimaji, Nanasi, Ndizi, Mapera, Nanasi, Ndizi, Nanasi
Nabii hufanya biashara ya kuuza matunda. Wateja wake wakuu ni Musa, Praise, Otis na Kamau. Wao huwa na siku ambazo hununua matunda anayotaka.
Mteja/Siku: Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili
Musa: Mapera, Ndizi, Nanasi, Tikitimaji, Mapera, Nanasi, Tikitimaji
Praise: Ndizi, Mapera, Nanasi, Mapera, Tikitimaji, Embe, Nanasi
Otis: Nanasi, Nanasi, Mapera, Mapera, Nanasi, Ndizi, Tikitimaji
Kamau: Tikitimaji, Nanasi, Ndizi, Mapera, Nanasi, Ndizi, Nanasi
Ni siku gani ya wiki ambayo wateja hununua tunda la aina moja kwa wingi?
- AAlhamisi
- BJumapili
- CJumamosi
- DJumatano
Answer
A. Alhamisi
Jibu sahihi ni A: Alhamisi.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni siku gani mazungumzo haya yalifanyika?Question 22
- Somo lililofundishwa lilikuwa lipi?Question 23
- Kulingana na Zawadi, kusoma vitabu husaidiaQuestion 24
- Wonder alisema kusoma vitabu kunasaidia nini?Question 25
- Upendo aliongeza kuwa kusoma vitabu hukusaidia vipi?Question 26
- Mwalimu aliwataka wanafunzi kufanya nini baada ya mjadala?Question 27