CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 12
Mtoto wa Sungura huitwa
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu 2
Kulikuwa na kikundi cha wanyama msituni ambao walikuwa wakipambana na uhaba wa chakula. Mbweha, Sungura na Kobe waliamua kuchanga bia ili kutatua tatizo hilo. Mbweha alikuwa hodari sana katika kubuni mikakati. Sungura alikuwa mwenda kasi sana na kobe alikuwa na uvumilivu wa hali ya juu. Waliamua kutumia vipaji vyao kusaidia kufanikisha lengo lao.
Mbweha alipanga njia za kuvizia chakula, Sungura alisambaza haraka habari kuhusu chakula kilichopatikana na kobe alihakikisha kuwa chakula kinapelekwa salama hadi kwenye makazi yao. Kwa pamoja, walifanikiwa kupata chakula kingi kuliko walivyotarajia. Kila mmoja aliona thamani ya vipaji vyao na jinsi walivyoweza kutumika kwa ushirikiano.

- Andama
- Bkitungule
- Cbuu
- Dkitekli
Answer
D. kitekli
Jibu sahihi ni D: kitekli.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Jamii ya Abagusii ilikumbwa na shida gani wakati wa ukoloni?Question 13
- Otenyo Nyamaterere alikuwa nani?Question 14
- Otenyo aliongoza mashambulizi dhidi yaQuestion 15
- Wajerumani walifanya nini baada ya mashambulizi ya Otenyo?Question 16
- Otenyo anakumbukwa leo kwa sababu gani?Question 17
- Ni tunda gani ambalo halikununuliwa na Musa na PraiseQuestion 18