CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 36
Chagua orodha yenye maneno ya aina moja.
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Chagua orodha yenye maneno ya aina moja.
- AMaji, madawati, uyoga
- BWema, huzuni, amani
- CKenya, taifa, wananchi
- DBunda, kitita, manukato
Answer
B. Wema, huzuni, amani
Jibu sahihi ni B: Wema, huzuni, amani.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyotumia kiwakilishi cha idadi.Question 37
- Nomino zifuatazo zinapatikana katika ngeli moja isipokuwaQuestion 38
- Kanusha sentensi ifuatayo: Tungalicheza vizuri tungalishinda.Question 39
- Tumia kivumishi cha sifa kujaza pengo. Mwanafunzi ___ anapenda mchezo wa riadha.Question 40
- Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi hii. Wanariadha wangali wanafanya mazoezi uwanjani.Question 41
- Tumia kiambishi ngeli kinachofaa kujaza nafasi: Makala yale ___ maudhui mepesi.Question 42