naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 41

Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi hii. Wanariadha wangali wanafanya mazoezi uwanjani.

From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko

Bainisha kitenzi kisaidizi katika sentensi hii. Wanariadha wangali wanafanya mazoezi uwanjani.

  1. AWanafanya
  2. BUwanjani
  3. CWangali
  4. DWanariadha

Answer

C. Wangali

Jibu sahihi ni C: Wangali.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test