CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 33
Chagua neno linalofaa pengo 33.
From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Kifungu cha kujaza nafasi
Usafi wa mazingira ni jambo la ___28___ kwa afya na ustawi wa wanafunzi shuleni. Shule inapaswa kuwa na mazingira ___29___ ili kuepusha magonjwa yanayosababishwa na uchafu kama vile ___30___. Moja ya njia za kudumisha usafi wa shule ni kuhakikisha kuwa taka zinazotupwa kwenye ___31___ na kufunikwa vizuri. Pia tuhakikishe kuna maji safi na salama kwa matumizi kama vile ___32___ na kunywa. Wanafunzi pia wanapaswa washiriki shughuli za usafi kwa njia mbalimbali kama vile ___33___ madarasa na kufagia mazingira. Walimu pia wahamasishe wanafunzi umuhimu wa usafi na afya kwa kuendesha ___34___ za mara ___35___ mara.

- Akupiga deki
- Bkuosha
- Ckusugua
- Dkupangusa
Answer
A. kupiga deki
Jibu sahihi ni A: kupiga deki.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua neno linalofaa pengo 34.Question 34
- Chagua neno linalofaa pengo 35.Question 35
- Chagua orodha yenye maneno ya aina moja.Question 36
- Chagua sentensi iliyotumia kiwakilishi cha idadi.Question 37
- Nomino zifuatazo zinapatikana katika ngeli moja isipokuwaQuestion 38
- Kanusha sentensi ifuatayo: Tungalicheza vizuri tungalishinda.Question 39