naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 31

Chagua neno linalofaa pengo 31.

From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)

Kifungu cha kujaza nafasi
Usafi wa mazingira ni jambo la ___28___ kwa afya na ustawi wa wanafunzi shuleni. Shule inapaswa kuwa na mazingira ___29___ ili kuepusha magonjwa yanayosababishwa na uchafu kama vile ___30___. Moja ya njia za kudumisha usafi wa shule ni kuhakikisha kuwa taka zinazotupwa kwenye ___31___ na kufunikwa vizuri. Pia tuhakikishe kuna maji safi na salama kwa matumizi kama vile ___32___ na kunywa. Wanafunzi pia wanapaswa washiriki shughuli za usafi kwa njia mbalimbali kama vile ___33___ madarasa na kufagia mazingira. Walimu pia wahamasishe wanafunzi umuhimu wa usafi na afya kwa kuendesha ___34___ za mara ___35___ mara.

Chagua neno linalofaa pengo 31.

  1. Ajaa
  2. Bmajani
  3. Cnjaa
  4. Dbarabara

Answer

A. jaa

Jibu sahihi ni A: jaa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test