naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026 · Question 30

Chagua neno linalofaa pengo 30.

From Test 90 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Kati ya Muhula wa 2, 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)

Kifungu cha kujaza nafasi
Usafi wa mazingira ni jambo la ___28___ kwa afya na ustawi wa wanafunzi shuleni. Shule inapaswa kuwa na mazingira ___29___ ili kuepusha magonjwa yanayosababishwa na uchafu kama vile ___30___. Moja ya njia za kudumisha usafi wa shule ni kuhakikisha kuwa taka zinazotupwa kwenye ___31___ na kufunikwa vizuri. Pia tuhakikishe kuna maji safi na salama kwa matumizi kama vile ___32___ na kunywa. Wanafunzi pia wanapaswa washiriki shughuli za usafi kwa njia mbalimbali kama vile ___33___ madarasa na kufagia mazingira. Walimu pia wahamasishe wanafunzi umuhimu wa usafi na afya kwa kuendesha ___34___ za mara ___35___ mara.

Chagua neno linalofaa pengo 30.

  1. Amafua na homa
  2. Bmafua na kuhara
  3. Ckuhara na kipindupindu
  4. Dmafua na pumu

Answer

C. kuhara na kipindupindu

Jibu sahihi ni C: kuhara na kipindupindu.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test