CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026: K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026
Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Tathmini ya Mwisho Muhula 2, 2026 · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.Answer: C. Kwa kawaida wakaazi walishiriki burudani wakati wa sikukuu.
- Question 2: “Wakajitokeza kwa wingi mithili ya kumbikumbi” fungu hili la maneno limetumia tamathali gani ya usemi?Answer: A. Tashbihi
- Question 3: Ni kifaa kipi hakikubebwa na wakaazi?Answer: D. Kuundia mbolea
- Question 4: Huenda wakaazi wa mtaa husika walishiriki shughuli zipi za kiuchumi?Answer: B. Kilimo na biashara
- Question 5: Ni sahihi kusema kuwa;Answer: A. Wakaazi walijadiliana kabla ya kuanza shughuli zao
- Question 6: Msanifu AulaAnswer: A. Aliandika mabango ya kuelimisha umma juu ya umuhimu wa usafi
- Question 7: Kulingana na mwandishi, shujaa wa kweli ni yupi?Answer: B. Anayejishirikisha vitendo vya kuinua hali ya jamii yake
- Question 8: Kifungu hiki kwa jumla kinahusu nini?Answer: D. Usafi wa sehemu za umma
- Question 9: Msemo “akashika tariki” kama ulivyotumika una maana gani?Answer: A. Akafuata njia
- Question 10: Ni kweli kusema kuwaAnswer: A. Ustawi wa kijamii unategemea mchango wa wote
- Question 11: Maisha ya zamani ni tofauti na ya sasa kwa kuwaAnswer: C. Zamani ugavi wa majukumu ulitegemea jinsia
- Question 12: Ni jukumu lipi halikutekelezwa na wanawake hapo zamani?Answer: B. Kuchunga mifugo
- Question 13: Iwapo msichana angeonyesha ukakamavuAnswer: D. Alipuuzwa na jamii
- Question 14: Kwa nini wanaume hawakushiriki shughuli za nyumbani?Answer: B. Walikuwa na majukumu yao mahususi
- Question 15: Mwandishi wa makala haya ana msimamo kuwaAnswer: A. Bado yapo majukumu machache ya kijinsia
- Question 16: Ni muhimu kuzingatia yafuatayo tunapogawana majukumu isipokuwaAnswer: D. Jinsia ya mhusika
- Question 17: Mwandishi anahimiza mambo yafuatayo katika aya ya mwisho. Lipi halifai?Answer: C. Watoto wafanyiwe majukumu yote na wazazi wao
- Question 18: Neno “mwiko” kama lilivyotumika lina maana ya jamboAnswer: C. Liharamishwa
- Question 19: Maria ni msichana mwenye heshima kwa kuwaAnswer: C. Anamwamkia mwalimu
- Question 20: Chagua jibu sahihi.Answer: D. Samahani
- Question 21: Kanuni ipi ya kusikiliza na kujibu mazungumzo haijazingatiwa?Answer: A. Kuuliza maswali ya balagha
- Question 22: Lengo la Maria kumwendea mwalimu lilikuwa lipi?Answer: B. Kuomba kibali cha kushiriki michezo
- Question 23: Ipi si faida ya michezo kwa mujibu wa mazungumzo haya?Answer: D. Kukuza ushindani katika jamii
- Question 24: Zifuatazo ni sifa za Maria kulingana na mazungumzo haya isipokuwaAnswer: B. Anayependa kujisifu
- Question 25: Chagua methali isiyoendana na zingine.Answer: A. Msafiri ni aliye bandarini
- Question 26: Jaza nafasi 26 kwa jibu sahihi.Answer: C. kuna
- Question 27: Jaza nafasi 27 kwa jibu sahihi.Answer: B. mengi
- Question 28: Jaza nafasi 28 kwa jibu sahihi.Answer: B. ule
- Question 29: Jaza nafasi 29 kwa jibu sahihi.Answer: B. ambayo
- Question 30: Jaza nafasi 30 kwa jibu sahihi.Answer: C. ili
- Question 31: Jaza nafasi 31 kwa jibu sahihi.Answer: C. anapoiona
- Question 32: Jaza nafasi 32 kwa jibu sahihi.Answer: A. kwenye
- Question 33: Jaza nafasi 33 kwa jibu sahihi.Answer: D. inayonyesha
- Question 34: Jaza nafasi 34 kwa jibu sahihi.Answer: B. miwili
- Question 35: Jaza nafasi 35 kwa jibu sahihi.Answer: B. kidindia
- Question 36: Bainisha sentensi iliyotumia kiwakilishi cha nafsi.Answer: D. Yeye hakushiriki uovu wowote.
- Question 37: Kamilisha sentensi hii kwa kisisitizi kifaacho. Makau aliyaleta ___Answer: C. yayo haya
- Question 38: Sentensi “Bakari ni mchwa” imetumia tamathali gani ya usemi?Answer: D. Sitiari
- Question 39: Sentensi ipi iliyo katika hali timilifu?Answer: A. Yona ameenda kucheza na wenzake.
- Question 40: Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Ghorofa iliyojengwa ni thabiti.Answer: B. Maghorofa yaliyojengwa ni thabiti.
- Question 41: Nomino “huzuni” na “sukari” huorodheshwa katika ngeli ya ipi?Answer: C. I–I
- Question 42: Kinyume cha “Shaibu alitabasamu” niAnswer: A. Shaibu alikasirika
- Question 43: Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa matukio.Answer: C. Mtoto alianguka akaumia.
- Question 44: Kipi ni kielezi cha wakati?Answer: A. Tena
- Question 45: Jilo alimwita Frida naye Frida akamwita Jilo. Kwa hivyo ___Answer: A. waliitana
- Question 46: Kanusha: Mvua ingalinyesha gari lingaliteleza.Answer: C. Mvua isingalinyesha gari lisingaliteleza.
- Question 47: Nomino “mafuta”, “chai” na “asali” ni za aina gani?Answer: D. Za makundi
- Question 48: Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo: Wakulima wamekuwa wakipalilia miche tangu asubuhi.Answer: A. wamekuwa
- Question 49: Jibu lipi linaonyesha sentensi changamano?Answer: A. Mtoto alipelekwa hospitalini kwa sababu alikuwa mgonjwa.
- Question 50: “Piga jeki” ni kusaidia kama ilivyo ___ kwa kufanya bidiiAnswer: C. jifunga nira