CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 37
Kamilisha sentensi hii kwa kisisitizi kifaacho. Makau aliyaleta ___
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Kamilisha sentensi hii kwa kisisitizi kifaacho.
Makau aliyaleta ________
- Aiyo hiyo
- Bilo hilo
- Cyayo haya
- Dyale haya
Answer
C. yayo haya
Jibu sahihi ni C: yayo haya.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Sentensi “Bakari ni mchwa” imetumia tamathali gani ya usemi?Question 38
- Sentensi ipi iliyo katika hali timilifu?Question 39
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Ghorofa iliyojengwa ni thabiti.Question 40
- Nomino “huzuni” na “sukari” huorodheshwa katika ngeli ya ipi?Question 41
- Kinyume cha “Shaibu alitabasamu” niQuestion 42
- Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa matukio.Question 43