CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 43
Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa matukio.
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa matukio.
- AAkikuona atafurahi.
- BNingeenda sokoni ningenunua matunda.
- CMtoto alianguka akaumia.
- DSikumuona wala kumsikia alipopita.
Answer
C. Mtoto alianguka akaumia.
Jibu sahihi ni C: Mtoto alianguka akaumia.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kipi ni kielezi cha wakati?Question 44
- Jilo alimwita Frida naye Frida akamwita Jilo. Kwa hivyo ___Question 45
- Kanusha: Mvua ingalinyesha gari lingaliteleza.Question 46
- Nomino “mafuta”, “chai” na “asali” ni za aina gani?Question 47
- Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo: Wakulima wamekuwa wakipalilia miche tangu asubuhi.Question 48
- Jibu lipi linaonyesha sentensi changamano?Question 49