CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 42
Kinyume cha “Shaibu alitabasamu” ni
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Kinyume cha “Shaibu alitabasamu” ni
- AShaibu alikasirika
- BAjuza alinuna
- CAjuza hakununa
- DShaibu hakutabasamu
Answer
A. Shaibu alikasirika
Jibu sahihi ni A: Shaibu alikasirika.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa matukio.Question 43
- Kipi ni kielezi cha wakati?Question 44
- Jilo alimwita Frida naye Frida akamwita Jilo. Kwa hivyo ___Question 45
- Kanusha: Mvua ingalinyesha gari lingaliteleza.Question 46
- Nomino “mafuta”, “chai” na “asali” ni za aina gani?Question 47
- Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo: Wakulima wamekuwa wakipalilia miche tangu asubuhi.Question 48