CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 46
Kanusha: Mvua ingalinyesha gari lingaliteleza.
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Kanusha: Mvua ingalinyesha gari lingaliteleza.
- AMvua ingalinyesha gari lisingaliteleza.
- BMvua isiponyesha gari halitateleza.
- CMvua isingalinyesha gari lisingaliteleza.
- DMvua isingelinyesha gari lisingeteleza.
Answer
C. Mvua isingalinyesha gari lisingaliteleza.
Jibu sahihi ni C: Mvua isingalinyesha gari lisingaliteleza.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Nomino “mafuta”, “chai” na “asali” ni za aina gani?Question 47
- Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo: Wakulima wamekuwa wakipalilia miche tangu asubuhi.Question 48
- Jibu lipi linaonyesha sentensi changamano?Question 49
- “Piga jeki” ni kusaidia kama ilivyo ___ kwa kufanya bidiiQuestion 50
- Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.Question 1
- “Wakajitokeza kwa wingi mithili ya kumbikumbi” fungu hili la maneno limetumia tamathali gani ya usemi?Question 2