CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 2
“Wakajitokeza kwa wingi mithili ya kumbikumbi” fungu hili la maneno limetumia tamathali gani ya usemi?
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
“Wakajitokeza kwa wingi mithili ya kumbikumbi” fungu hili la maneno limetumia tamathali gani ya usemi?
- ATashbihi
- BChuku
- CSitiari
- DKinaya
Answer
A. Tashbihi
Jibu sahihi ni A: Tashbihi.