CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 1
Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.
- AWakaazi hawapendi kushiriki burudani.
- BWakaazi walikataa kuenda sherehe ya Siku ya Mashujaa.
- CKwa kawaida wakaazi walishiriki burudani wakati wa sikukuu.
- DKwa kawaida wakaazi walisafisha mazingira yao wakati wa sikukuu.
Answer
C. Kwa kawaida wakaazi walishiriki burudani wakati wa sikukuu.
Jibu sahihi ni C: Kwa kawaida wakaazi walishiriki burudani wakati wa sikukuu.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- “Wakajitokeza kwa wingi mithili ya kumbikumbi” fungu hili la maneno limetumia tamathali gani ya usemi?Question 2
- Ni kifaa kipi hakikubebwa na wakaazi?Question 3
- Huenda wakaazi wa mtaa husika walishiriki shughuli zipi za kiuchumi?Question 4
- Ni sahihi kusema kuwa;Question 5
- Msanifu AulaQuestion 6
- Kulingana na mwandishi, shujaa wa kweli ni yupi?Question 7