naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 7

Kulingana na mwandishi, shujaa wa kweli ni yupi?

From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Kulingana na mwandishi, shujaa wa kweli ni yupi?

  1. AAnayepigana na mataifa ya kigeni
  2. BAnayejishirikisha vitendo vya kuinua hali ya jamii yake
  3. CAnayetambuliwa na watu kama mtu asiyegopa
  4. DAnayevurunga msikamano wa jamii.

Answer

B. Anayejishirikisha vitendo vya kuinua hali ya jamii yake

Jibu sahihi ni B: Anayejishirikisha vitendo vya kuinua hali ya jamii yake.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test