CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 9
Msemo “akashika tariki” kama ulivyotumika una maana gani?
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Msemo “akashika tariki” kama ulivyotumika una maana gani?
- AAkafuata njia
- BAkaanza shughuli
- CAkakata shauri
- DAkaitikia mwito
Answer
A. Akafuata njia
Jibu sahihi ni A: Akafuata njia.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Ni kweli kusema kuwaQuestion 10
- Maisha ya zamani ni tofauti na ya sasa kwa kuwaQuestion 11
- Ni jukumu lipi halikutekelezwa na wanawake hapo zamani?Question 12
- Iwapo msichana angeonyesha ukakamavuQuestion 13
- Kwa nini wanaume hawakushiriki shughuli za nyumbani?Question 14
- Mwandishi wa makala haya ana msimamo kuwaQuestion 15