CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 49
Jibu lipi linaonyesha sentensi changamano?
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Jibu lipi linaonyesha sentensi changamano?
- AMtoto alipelekwa hospitalini kwa sababu alikuwa mgonjwa.
- BKikapu kile kimejaa ndizi mbivu.
- CMachoka alinipigia simu juzi.
- DSoko lililojengwa na serikali litafunguliwa kesho.
Answer
A. Mtoto alipelekwa hospitalini kwa sababu alikuwa mgonjwa.
Jibu sahihi ni A: Mtoto alipelekwa hospitalini kwa sababu alikuwa mgonjwa.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- “Piga jeki” ni kusaidia kama ilivyo ___ kwa kufanya bidiiQuestion 50
- Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.Question 1
- “Wakajitokeza kwa wingi mithili ya kumbikumbi” fungu hili la maneno limetumia tamathali gani ya usemi?Question 2
- Ni kifaa kipi hakikubebwa na wakaazi?Question 3
- Huenda wakaazi wa mtaa husika walishiriki shughuli zipi za kiuchumi?Question 4
- Ni sahihi kusema kuwa;Question 5