CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 44
Kipi ni kielezi cha wakati?
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Kipi ni kielezi cha wakati?
- ATena
- BMara mbili
- CTaratibu
- DShuleni
Answer
A. Tena
Jibu sahihi ni A: Tena.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Jilo alimwita Frida naye Frida akamwita Jilo. Kwa hivyo ___Question 45
- Kanusha: Mvua ingalinyesha gari lingaliteleza.Question 46
- Nomino “mafuta”, “chai” na “asali” ni za aina gani?Question 47
- Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo: Wakulima wamekuwa wakipalilia miche tangu asubuhi.Question 48
- Jibu lipi linaonyesha sentensi changamano?Question 49
- “Piga jeki” ni kusaidia kama ilivyo ___ kwa kufanya bidiiQuestion 50