CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 40
Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Ghorofa iliyojengwa ni thabiti.
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Andika wingi wa sentensi ifuatayo.
Ghorofa iliyojengwa ni thabiti.
- AGhorofa zilizojengwa ni thabiti.
- BMaghorofa yaliyojengwa ni thabiti.
- CMaghorofa zilizojengwa ni thabiti.
- DGhorofa yaliyojengwa ni thabiti.
Answer
B. Maghorofa yaliyojengwa ni thabiti.
Jibu sahihi ni B: Maghorofa yaliyojengwa ni thabiti.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Nomino “huzuni” na “sukari” huorodheshwa katika ngeli ya ipi?Question 41
- Kinyume cha “Shaibu alitabasamu” niQuestion 42
- Chagua sentensi inayoonyesha hali ya kufuatana kwa matukio.Question 43
- Kipi ni kielezi cha wakati?Question 44
- Jilo alimwita Frida naye Frida akamwita Jilo. Kwa hivyo ___Question 45
- Kanusha: Mvua ingalinyesha gari lingaliteleza.Question 46