CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 21
Kanuni ipi ya kusikiliza na kujibu mazungumzo haijazingatiwa?
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Kanuni ipi ya kusikiliza na kujibu mazungumzo haijazingatiwa?
- AKuuliza maswali ya balagha
- BKujibu kwa wakati unaofaa
- CKujikita katika kiini cha mazungumzo
- DMatumizi ya ishara mbalimbali
Answer
A. Kuuliza maswali ya balagha
Jibu sahihi ni A: Kuuliza maswali ya balagha.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Lengo la Maria kumwendea mwalimu lilikuwa lipi?Question 22
- Ipi si faida ya michezo kwa mujibu wa mazungumzo haya?Question 23
- Zifuatazo ni sifa za Maria kulingana na mazungumzo haya isipokuwaQuestion 24
- Chagua methali isiyoendana na zingine.Question 25
- Jaza nafasi 26 kwa jibu sahihi.Question 26
- Jaza nafasi 27 kwa jibu sahihi.Question 27