CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 25
Chagua methali isiyoendana na zingine.
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi
Chagua methali isiyoendana na zingine.
- AMsafiri ni aliye bandarini
- BMbiu ya mgambo ikilia kuna jambo
- CBura yangu sibadili na rehani
- DAsiyekubali kushindwa si mshindani
Answer
A. Msafiri ni aliye bandarini
Jibu sahihi ni A: Msafiri ni aliye bandarini.