CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 31
Jaza nafasi 31 kwa jibu sahihi.
From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Kifungu cha mapengo (Sehemu B)
Upanzi wa mti ........26........ manufaa ........27........ katika mazingira yeyote ........28........ Kwanza mti huwa pambo ........29........ huyaletea mazingira mvuto ........30........ yawe ya kupendeza. Ni nani asiyeburudika ........31........ rangi ya kijani kibichi imeenea hadi ........32........ upeo wa macho? Mbali na hayo miti huvutia mvua ........33........ mara kwa mara ili ardhi isikauke. Kila mwanajamii anapaswa kupanda angalau miti ........34........ kila mwaka. Isitoshe tujiepushe na ukataji wa miti ........35........

- Aameiona
- Balipoiona
- Canapoiona
- Datakapoona
Answer
C. anapoiona
Jibu sahihi ni C: anapoiona.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Jaza nafasi 32 kwa jibu sahihi.Question 32
- Jaza nafasi 33 kwa jibu sahihi.Question 33
- Jaza nafasi 34 kwa jibu sahihi.Question 34
- Jaza nafasi 35 kwa jibu sahihi.Question 35
- Bainisha sentensi iliyotumia kiwakilishi cha nafsi.Question 36
- Kamilisha sentensi hii kwa kisisitizi kifaacho. Makau aliyaleta ___Question 37