naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili End Term 2 Exam 2026 · Question 32

Jaza nafasi 32 kwa jibu sahihi.

From Test 88 — K.J.S.E.A Kiswahili Karatasi ya 1, Muhula 2 Tathmini ya Mwisho 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)

Kifungu cha mapengo (Sehemu B)
Upanzi wa mti ........26........ manufaa ........27........ katika mazingira yeyote ........28........ Kwanza mti huwa pambo ........29........ huyaletea mazingira mvuto ........30........ yawe ya kupendeza. Ni nani asiyeburudika ........31........ rangi ya kijani kibichi imeenea hadi ........32........ upeo wa macho? Mbali na hayo miti huvutia mvua ........33........ mara kwa mara ili ardhi isikauke. Kila mwanajamii anapaswa kupanda angalau miti ........34........ kila mwaka. Isitoshe tujiepushe na ukataji wa miti ........35........

Jaza nafasi 32 kwa jibu sahihi.

  1. Akwenye
  2. Bkwa
  3. Cyenye
  4. Dya

Answer

A. kwenye

Jibu sahihi ni A: kwenye.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test