CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam: Revision 6 Kiswahili Karatasi 1
Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 50 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza, Sarufi, Fasihi.
All 50 questions with answers
- Question 1: Mgonjwa anayerejelewa katika habari hii alipatikana na ugonjwa waAnswer: A. waba
- Question 2: Mgonjwa aliyekuwa akiumwa na tumbo alipelekwa wapi?Answer: C. Katika hospitali moja ya kaunti ndogo
- Question 3: Ugonjwa wa kipindupindu husababishwa naAnswer: D. uchafu
- Question 4: Daktari alimlaza mgonjwa hospitalini iliAnswer: B. mgonjwa atibiwe upesi
- Question 5: Wauguzi walimuuguza mgonjwaAnswer: A. usiku na mchana
- Question 6: Kisawe cha neno waba niAnswer: C. kipindupindu
- Question 7: Habari hii inazumgumza kuhusuAnswer: B. Ugonjwa wa kipindupindu
- Question 8: Mashujaa waliishi maisha ya aina gani?Answer: D. Yasiyopendeza hata kidogo
- Question 9: Tunasimuliwa kuwa mashujaa walisafiriAnswer: A. kwa kutumia miguu
- Question 10: Mashujaa hao wanastahiliAnswer: C. kupewa heshima na kutambuliwa
- Question 11: Neno 'uchafu' limetumiwa katiko kifungu. Kinyume cha uchafu niAnswer: B. usafi
- Question 12: Shujaa niAnswer: D. mtu jasiri mwenye uwezo wa
- Question 13: Ujana unaelezwa kama nini?Answer: A. Kipindi cha utoto
- Question 14: Jamii hutambua ujana kwa kutumia nini?Answer: C. Vipimo mbalimbali
- Question 15: Katika kipindi cha kwanza cha ujana, nini hutokea?Answer: C. Mabadiliko ya kifedha
- Question 16: Ujana unahusisha mabadiliko yapi?Answer: D. Nyumbani hadi shuleni
- Question 17: Ni mabadiliko yapi hujitokeza katika wasichana?Answer: A. Kubadilika kwa sauti zao
- Question 18: Wavulana hubadilika vipi?Answer: C. Kuwa warembo na kuanza kuringa
- Question 19: Umbo ia wasichana hubadilika kuwa kamaAnswer: A. jiwe
- Question 20: Kwa nini ujana ni wakati mgumu?Answer: A. Kwa sababu ya kazi nyingi
- Question 21: Chagua jibu sahihi kukamilisha nafasi ya 21 iliyoachwa kwenye kifunguAnswer: B. Sabalkheri
- Question 22: Mazungumzo haya yanafanyika wapi?Answer: D. Darasani
- Question 23: Marehemu alifariki kutokana na ugonjwa upi?Answer: C. Saratani
- Question 24: Ni neno lipi ambalo halijatumika na Pendo na Neema katika mazungumzo yao?Answer: A. Afya
- Question 25: Chagua jibu lenye neno ambalo Pendo angetumia katika nafasi ya 25.Answer: B. Makiwa
- Question 26: Mazingira yetu ni baadhi ___26___ sehemu ambazo ni muhimu kwetu.Answer: C. ya
- Question 27: Mazingira yetu ni baadhi ya sehemu ambazo ni ___27___ kwetu.Answer: B. muhimu
- Question 28: ___28___ katika hali safi basi ni sisi wenyewe ndio tutakaojilaumu.Answer: B. Tusipoyaweka
- Question 29: Tusipoyaweka katika hali ___29___ basi ni sisi wenyewe ndio tutakaojilaumu.Answer: C. safi
- Question 30: Tusipoyaweka katika hali safi basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu.Answer: D. wenyewe
- Question 31: Magonjwa aina kadhaa ___31___ na kututesa.Answer: A. yatatushika
- Question 32: Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza.Answer: B. mnuko
- Question 33: Zaidi ya hayo, ___33___ zikitupwa ovyo hazipendezi.Answer: A. takataka
- Question 34: Tusipolinda vyema pahala tunapoishi na kupaweka safi siku ___34___, basi hata marafiki zetu wataacha kututembelea.Answer: D. zote
- Question 35: Basi hata marafiki ___35___ wataacha kututembelea.Answer: C. zetu
- Question 36: Tambua jibu lililotumia 'ji' ya nafsi.Answer: C. Alijiimbia akifua nguo
- Question 37: Andika jina kutokana na kitenzi kilichopigiwa mstari. Vkidhulumu mtu, nawe huna salama.Answer: D. Dhuluma
- Question 38: Kanusha sentensi hii. Naona na kusikia barabara.Answer: C. Sioni wala sisikii barabara
- Question 39: Chagua sentensi isiyo sahihi.Answer: D. Kuendelea kulima ndivyo tulivyozidi
- Question 40: Andika wingi wa sentensi hii. Mweledi alikunywa uji kisha akatapika.Answer: A. Waledi walikunywa uji kisha
- Question 41: Mahali ambapo wagonjwa hukaa wakingojea daktari niAnswer: B. pambajeo
- Question 42: Sasa ni saaAnswer: D. Saba na dakika tano
- Question 43: Ni sayari ipi ambayo ni ndogo kuliko zote?Answer: C. Zuhura
- Question 44: Shairi ambalo limegawanywa katika vipande viwili huitwaAnswer: C. mathnawi
- Question 45: Nomino ‘kitungule’ iko katika ngeli gani?Answer: D. A–WA
- Question 46: Ujumbe unaotumwa kwa kutumia tarakilishi na ambao ni njia haraka sana ya mawasiliano huitwaAnswer: B. barua meme
- Question 47: Bainisha aina za nomio zilizopigiwa mstari. Halaiki ya watu ilitembea kwa miguu.Answer: B. makundi, kawaida
- Question 48: Tambua maneno yaliyokolezwa katika sentensi hii. Kiti hiki_ni changu, jjngine ni la rafiki.Answer: B. kivumishi, kiwakilishi
- Question 49: Chagua ukubwa wa; Ndege mkubwa alipaa angani.Answer: A. Dege kubwa lilipaa angani
- Question 50: Ndege mkubwa alipaa angani.Answer: D. Jindege kubwa alipaa angani