CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 24
Ni neno lipi ambalo halijatumika na Pendo na Neema katika mazungumzo yao?
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo na Uzungumzaji
Mazungumzo ya Maswali 21–25
Pendo:
(Akintnyoshea Neema mkono.) _ 21 rafiki?
Aheri Pendo. Asante kufika mapema.
Neema•.
(Akitabasamu.) Nilikata shauri kuwa nitajaribu niwezavyo kurauka ili nipate
Pendo:
fursa ya kudurusu vitabu.
Pia nami sitabaki nyuma kama koti.
Neema:
Pendo:
Mbona hukuwa shuleni jana? Sikukuona kabisa.
Tulienda kumzika shangazi yetu. Aliaga kutokana na maradhi ya saratani.
Neema:
Pendo:
(Kwa huzuni.) _ 25 rafiki.
Neema:
Yameshapita.
Pendo:
(Akintnyoshea Neema mkono.) _ 21 rafiki?
Aheri Pendo. Asante kufika mapema.
Neema•.
(Akitabasamu.) Nilikata shauri kuwa nitajaribu niwezavyo kurauka ili nipate
Pendo:
fursa ya kudurusu vitabu.
Pia nami sitabaki nyuma kama koti.
Neema:
Pendo:
Mbona hukuwa shuleni jana? Sikukuona kabisa.
Tulienda kumzika shangazi yetu. Aliaga kutokana na maradhi ya saratani.
Neema:
Pendo:
(Kwa huzuni.) _ 25 rafiki.
Neema:
Yameshapita.
Ni neno lipi ambalo halijatumika na Pendo na Neema katika mazungumzo yao?
- AAfya
- BRafiki
- CMbona
- DYameshapita
Answer
A. Afya
The correct option is A.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lenye neno ambalo Pendo angetumia katika nafasi ya 25.Question 25
- Mazingira yetu ni baadhi ___26___ sehemu ambazo ni muhimu kwetu.Question 26
- Mazingira yetu ni baadhi ya sehemu ambazo ni ___27___ kwetu.Question 27
- ___28___ katika hali safi basi ni sisi wenyewe ndio tutakaojilaumu.Question 28
- Tusipoyaweka katika hali ___29___ basi ni sisi wenyewe ndio tutakaojilaumu.Question 29
- Tusipoyaweka katika hali safi basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu.Question 30