CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 30
Tusipoyaweka katika hali safi basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu.
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Kifungu chenye nafasi za Maswali 26–35
Mazingira yetu ni baadhi ___26___ sehemu ambazo ni ___27___ kwetu. ___28___ katika hali ___29___ basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu. Magonjwa aina kadhaa ___31___ na kututesa. Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza. Zaidi ya hayo, ___33___ zikitupwa ovyo hazipendezi. Tusipolinda vyema pahala tunapoishi na kupaweka safi siku ___34___, basi hata marafiki ___35___ wataacha kututembelea.
Mazingira yetu ni baadhi ___26___ sehemu ambazo ni ___27___ kwetu. ___28___ katika hali ___29___ basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu. Magonjwa aina kadhaa ___31___ na kututesa. Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza. Zaidi ya hayo, ___33___ zikitupwa ovyo hazipendezi. Tusipolinda vyema pahala tunapoishi na kupaweka safi siku ___34___, basi hata marafiki ___35___ wataacha kututembelea.
Tusipoyaweka katika hali safi basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu.
- Azenyewe
- Byenyewe
- Cmwenyewe
- Dwenyewe
Answer
D. wenyewe
The correct option is D.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Magonjwa aina kadhaa ___31___ na kututesa.Question 31
- Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza.Question 32
- Zaidi ya hayo, ___33___ zikitupwa ovyo hazipendezi.Question 33
- Tusipolinda vyema pahala tunapoishi na kupaweka safi siku ___34___, basi hata marafiki zetu wataacha kututembelea.Question 34
- Basi hata marafiki ___35___ wataacha kututembelea.Question 35
- Tambua jibu lililotumia 'ji' ya nafsi.Question 36