CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 36
Tambua jibu lililotumia 'ji' ya nafsi.
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Tambua jibu lililotumia 'ji' ya nafsi.
- AUimbaji huo ni wa ninga
- BMwimbaji hodari ni Bi. Zuhura
- CAlijiimbia akifua nguo
- DJibu linaimba
Answer
C. Alijiimbia akifua nguo
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika jina kutokana na kitenzi kilichopigiwa mstari. Vkidhulumu mtu, nawe huna salama.Question 37
- Kanusha sentensi hii. Naona na kusikia barabara.Question 38
- Chagua sentensi isiyo sahihi.Question 39
- Andika wingi wa sentensi hii. Mweledi alikunywa uji kisha akatapika.Question 40
- Mahali ambapo wagonjwa hukaa wakingojea daktari niQuestion 41
- Ni sayari ipi ambayo ni ndogo kuliko zote?Question 43