CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 37
Andika jina kutokana na kitenzi kilichopigiwa mstari. Vkidhulumu mtu, nawe huna salama.
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Andika jina kutokana na kitenzi
kilichopigiwa mstari.
Vkidhulumu mtu, nawe huna salama.
- ADhu!umia
- BDhalimu
- CDhulumu
- DDhuluma
Answer
D. Dhuluma
The correct option is D.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi hii. Naona na kusikia barabara.Question 38
- Chagua sentensi isiyo sahihi.Question 39
- Andika wingi wa sentensi hii. Mweledi alikunywa uji kisha akatapika.Question 40
- Mahali ambapo wagonjwa hukaa wakingojea daktari niQuestion 41
- Ni sayari ipi ambayo ni ndogo kuliko zote?Question 43
- Shairi ambalo limegawanywa katika vipande viwili huitwaQuestion 44