CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 44
Shairi ambalo limegawanywa katika vipande viwili huitwa
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Fasihi, Ushairi
Shairi ambalo limegawanywa katika
vipande viwili huitwa
- Aukawafi
- Bukwapi
- Cmathnawi
- Dmanthami
Answer
C. mathnawi
The correct option is C.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Nomino ‘kitungule’ iko katika ngeli gani?Question 45
- Ujumbe unaotumwa kwa kutumia tarakilishi na ambao ni njia haraka sana ya mawasiliano huitwaQuestion 46
- Bainisha aina za nomio zilizopigiwa mstari. Halaiki ya watu ilitembea kwa miguu.Question 47
- Tambua maneno yaliyokolezwa katika sentensi hii. Kiti hiki_ni changu, jjngine ni la rafiki.Question 48
- Chagua ukubwa wa; Ndege mkubwa alipaa angani.Question 49
- Ndege mkubwa alipaa angani.Question 50