CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 47
Bainisha aina za nomio zilizopigiwa mstari. Halaiki ya watu ilitembea kwa miguu.
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Bainisha aina za nomio zilizopigiwa
mstari.
Halaiki ya watu ilitembea kwa miguu.
- Apekee, wingi
- Bmakundi, kawaida
- Cwingi, makundi
- Dkawaida, makundi
Answer
B. makundi, kawaida
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Tambua maneno yaliyokolezwa katika sentensi hii. Kiti hiki_ni changu, jjngine ni la rafiki.Question 48
- Chagua ukubwa wa; Ndege mkubwa alipaa angani.Question 49
- Ndege mkubwa alipaa angani.Question 50
- Mgonjwa anayerejelewa katika habari hii alipatikana na ugonjwa waQuestion 1
- Mgonjwa aliyekuwa akiumwa na tumbo alipelekwa wapi?Question 2
- Ugonjwa wa kipindupindu husababishwa naQuestion 3