naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 38

Kanusha sentensi hii. Naona na kusikia barabara.

From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi

Kanusha sentensi hii.
Naona na kusikia barabara.

  1. AHatuoni na kusikia barabara
  2. BTunaona ila hatusikii barabara
  3. CSioni wala sisikii barabara
  4. DSioni na kusikia barabara

Answer

C. Sioni wala sisikii barabara

The correct option is C.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test