CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 40
Andika wingi wa sentensi hii. Mweledi alikunywa uji kisha akatapika.
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Andika wingi wa sentensi hii.
Mweledi alikunywa uji kisha akatapika.
- AWaledi walikunywa uji kisha
- BWaeledi walikunywa uji kisha
- CWaeledi walikunywa nyuji kisha
- DWaulidi walikunywa nyuji kisha
Answer
A. Waledi walikunywa uji kisha
The correct option is A.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Mahali ambapo wagonjwa hukaa wakingojea daktari niQuestion 41
- Ni sayari ipi ambayo ni ndogo kuliko zote?Question 43
- Shairi ambalo limegawanywa katika vipande viwili huitwaQuestion 44
- Nomino ‘kitungule’ iko katika ngeli gani?Question 45
- Ujumbe unaotumwa kwa kutumia tarakilishi na ambao ni njia haraka sana ya mawasiliano huitwaQuestion 46
- Bainisha aina za nomio zilizopigiwa mstari. Halaiki ya watu ilitembea kwa miguu.Question 47