CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 32
Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza.
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Kifungu chenye nafasi za Maswali 26–35
Mazingira yetu ni baadhi ___26___ sehemu ambazo ni ___27___ kwetu. ___28___ katika hali ___29___ basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu. Magonjwa aina kadhaa ___31___ na kututesa. Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza. Zaidi ya hayo, ___33___ zikitupwa ovyo hazipendezi. Tusipolinda vyema pahala tunapoishi na kupaweka safi siku ___34___, basi hata marafiki ___35___ wataacha kututembelea.
Mazingira yetu ni baadhi ___26___ sehemu ambazo ni ___27___ kwetu. ___28___ katika hali ___29___ basi ni sisi ___30___ ndio tutakaojilaumu. Magonjwa aina kadhaa ___31___ na kututesa. Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza. Zaidi ya hayo, ___33___ zikitupwa ovyo hazipendezi. Tusipolinda vyema pahala tunapoishi na kupaweka safi siku ___34___, basi hata marafiki ___35___ wataacha kututembelea.
Aidha, uchafu huleta ___32___ unaokera na kuchukiza.
- Aharufu
- Bmnuko
- Ckunuka
- Dmnukio
Answer
B. mnuko
The correct option is B.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Zaidi ya hayo, ___33___ zikitupwa ovyo hazipendezi.Question 33
- Tusipolinda vyema pahala tunapoishi na kupaweka safi siku ___34___, basi hata marafiki zetu wataacha kututembelea.Question 34
- Basi hata marafiki ___35___ wataacha kututembelea.Question 35
- Tambua jibu lililotumia 'ji' ya nafsi.Question 36
- Andika jina kutokana na kitenzi kilichopigiwa mstari. Vkidhulumu mtu, nawe huna salama.Question 37
- Kanusha sentensi hii. Naona na kusikia barabara.Question 38