CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 17
Ni mabadiliko yapi hujitokeza katika wasichana?
From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Kifungu cha Maswali 13–20
Ujana hauna mipaka kamili. Ni hali kati ya watoto na utu wa makamo. Jamii
mbalimbali zinakadiria ujana kwa vipimo mbalimbali. Katika kipindi cha kwanza, kuna
mabadiliko ya kimwili na ya kiakili. Miili ya vijana inabadilika kutoka utotoni hadi utu
uzima. Wasichana huvunja ungo. Umbo pia hubadilika ukadhihiri urembo kama malaika.
Nao huanza kuringa kama tausi.
Wavulana hubaleghe kwa kubadilisha sauti zao; zikawa nzito kiasi. Ni wakati mgumu
kwao kwani kwa wengi sauti zenyewe hukirihi na kujaa mikwaruzo ya kuwaaibisha.

- AKubadilika kwa sauti zao
- BKumea ndevu
- CKuvunja ungo
- DKuwa warefu
Answer
A. Kubadilika kwa sauti zao
The correct option is A.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Wavulana hubadilika vipi?Question 18
- Umbo ia wasichana hubadilika kuwa kamaQuestion 19
- Kwa nini ujana ni wakati mgumu?Question 20
- Chagua jibu sahihi kukamilisha nafasi ya 21 iliyoachwa kwenye kifunguQuestion 21
- Mazungumzo haya yanafanyika wapi?Question 22
- Marehemu alifariki kutokana na ugonjwa upi?Question 23