naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Revision Exam · Question 20

Kwa nini ujana ni wakati mgumu?

From Test 101 — Revision 6 Kiswahili Karatasi 1 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu

Kifungu cha Maswali 13–20
Ujana hauna mipaka kamili. Ni hali kati ya watoto na utu wa makamo. Jamii
mbalimbali zinakadiria ujana kwa vipimo mbalimbali. Katika kipindi cha kwanza, kuna
mabadiliko ya kimwili na ya kiakili. Miili ya vijana inabadilika kutoka utotoni hadi utu
uzima. Wasichana huvunja ungo. Umbo pia hubadilika ukadhihiri urembo kama malaika.
Nao huanza kuringa kama tausi.
Wavulana hubaleghe kwa kubadilisha sauti zao; zikawa nzito kiasi. Ni wakati mgumu
kwao kwani kwa wengi sauti zenyewe hukirihi na kujaa mikwaruzo ya kuwaaibisha.

Kwa nini ujana ni wakati mgumu?

  1. AKwa sababu ya kazi nyingi
  2. BKwa sababu ya chakula kidogo
  3. CKwa sababu sauti hubadilika na
  4. DKwa sababu ya michezo mingi

Answer

A. Kwa sababu ya kazi nyingi

The correct option is A.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test